Vifaranga wakiwa wadogo kuanzia siku moja hadi mwezi moja wanaitaji joto lakutengeneza kama la umeme,jiko la mkaa,chemli nk.husaidia kuwakuza kwa haraka na wakikosa joto vifaranga ni rahisi kufa kwa baridi mana wanakosa joto halisi toka kwa mama yao.
No comments:
Post a Comment