Tuesday, November 15, 2016

JE UNAFAHAM KUKU HUWA WANAPATWA NA UGOJWA WA MSONGO WA MAWAZO?

Madhara ya ugojwa huu mara nyingi huwa kuku wa mayai hupelekea kasi ya utagaji kupungua na hatimaye kusimama kabisa kutaga,Dawa ya ugojwa huu ni kuwafungia Bembea ndani ya banda

FAIDA A BEMBEA
Kwanza huwaonodolea au kupunguzia msongo wa mawazo.
pili hupunguza kasi ya mlipuko wa maradhi.

No comments:

Post a Comment