Saturday, December 31, 2016

JINSI YAKUKINGA KUKU DHIDI YA MAGOJWA.

• Wape chanjo
• Usiwachanganye wa umri tofauti au na ndege wengine
• Walioenda sokoni wasirudi
• Ondoa kuku wenye dalili za ugonjwa
• Tenga wageni
• Watu wasiohusika wasiingie
• Usafi wa banda na vifaa vya maji na chakula
• Mlo bora
• Pumzisha banda kwa intake tofauti
• Mlangoni weka dawa ya kuulia vijidudu ya kukanyaga
• Mavazi maalum bandani

NB:Wapende kuku wako kama unavojipenda wewe mwenyewe.


No comments:

Post a Comment