Wednesday, January 4, 2017

ATHARI ZA UPUNGUFU WA VIRUTUBISHO KWENYE CHAKULA.

1:Kudumaa
2:Kupungua uzito,
3:Kulemaa viungo
4:Kuvunjika mifupa kwa urahisi
5:Kutaga mayai yenye ganda laini
6:Kutaga mayai machache
7:Kutoota manyoya yakutosha.
8:unyonyoka na kujikunja manyoya.
9:Kujaa kwa tumbo
                TIBA
Athari zinazotokana na upungufu wa
virutubishi zinaweza kurekebishwa kwa
kuwapa kuku virutubishi vilivyopungua
katika chakula.
                 KINGA
 Kuwalisha chakula kilicho na
mchanganyiko wenye uwiano sahihi
katika wanga, protini, vitamini, madini
na maji ya kutoshabo.
Kuku aliekosa chakula chenye virutubisho vya kutosha.
Kuku waliopata chakula chenye virutubisho vya kutosha.

1 comment: