Jipatie mbegu bora ya VIFARANGA WA CHOTARA aina ya
1:MALAWI-hawa hutoa mayai mengi zaidi ya kuku wa chotara hutoa mayai kuanzia 280 hadi 320 kwa mwaka mmoja.
2:ISRAEL-Hawa hutoa mayai 280 hadi 300 kwa mwaka mmoja
3:KUROILER-Hawa hutoa mayai 240 hadi maayai 260 kwa mwaka mmoja..
NB:Hawa ndo kuku wenye faida yakufugwa wanafaida ya kutoa mayai mengi kwa mwaka,ni rahisi kufugika,wanakua haraka,wavumilivu katika magojwa na unaweza wafuga kwa kuwachia nje..
ukitaji VIFARANGA tutafute kwa no 0718969610/o767871996 tupo Arusha.
No comments:
Post a Comment