Friday, December 16, 2016

ZITAMBUE DALILI ZA KUKU MGOJWA.

1:Kuzubaa
2:kupoteza hamu ya kula
3:kujitenga na wenzake katika kundi
4:kujikunyata
5:kupunguza au kusimama kutaga

NB:UKIONA DALILI HIZI MUITE BWANA MIFUGO ALIE KARIBU YAKO AKUPE USHAURI.

No comments:

Post a Comment