Tuesday, November 15, 2016

USAFI WA VYOMBO NI MHIMU.

usafi wa vyombo maji ni mhimu kuwafanyiwa usafi kila mala ubadilishapo maji ni vizuri kufanyia usafi kwa maji safi nasabuni ili vijidudu waenezao magojwa kama ya homa kali  ya matumbo,kuharisha kinyesin cheupe,kipindupindu cha kuku,mafua ya kuku,saratani ya kuku nk.
Vyombo vya chakula mhimu kuoshwa kila siku asubuhi. 

No comments:

Post a Comment