Thursday, January 19, 2017

NJIA ZA KUANZISHA MRADI WA KUKU

 SEHEM YA KWANZA.
1.kwanza fahamu vitu vya msingi unavyotakiwa kuwa navyo
ambavyo ni
=wazo la ubunifu
=dhamira (unafuga kwa lengo gani)
=eneo la kufugia
=aina ya kuku unaotaka kufuga
=mtaji
=usikivu
=elimu ya ufugaji wa kuku
=kufuga kisasa/kufuga kibiashara
hizo ni baadhi tu ya vigezo muhimu  =
2.Anza kidogo uwezavyo(  mtaji)
watu wengi wanashindwa kuendesha miradi hii wakihofia uwezo wakuweza kuhudumia, sio lazima uwe na pesa nyingi ndipo uanze kufuga kuku, au sio lazima uanze na kuku wengi kwa kutimiza ndoto zako, neno la msingi wewe mwenye mtaji mdogo  anza kidogo uwezavyo, hii itakuongezea juhudi yakufikia malengo yako.
tambua ujasilia mali wowote unahuitaji kuku, huwezi kukimbilia hatua ya tatu wakati hatua ya kwanza hujaifanya, pale utakapo anza na kidogo utaweza kukua vyema na kuwa ujuzi mkubwa wakuhimili mikikimikiki ya ufugaji ambayo kama ungeanza kwa pupa ungeweza kushindwa kuendesha mradi wako.

Itaendelea..................


1 comment: